
Wimbo huu wenye mahadhi ya kinigeria umerekodiwa kawenye studio ya ZooRecord na kutengenezwa na Producer Edward.Wimbo unaelezea uwezo wa Mungu katika kubadilisha maisha ya mtu kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa mshangao mkubwa.
Katika wimbo huu Benny ametumia lugha mbili ya kiswahili na kiingeleza pamoja na vionjo vya lugha ya ibo ambayo ni moja ya kabila la nchini Nigeria.
Akizungumza na PROMOVER.COM Benny Mavoko anasema wimbo huo kwa sasa unakubalika sana kwa watu wengi kuliko nyimbo zake zote hivyo anaamini wimbo huo utazidi kufanya vizuri siku hadi siku.

Kwa mawasiliano zaidi ya jinsi ya kumpata Benny kwaajili ya huduma za injili au kusaidiwa kutunga nyimbo nzuri,mtate kwa mawasiliano haya:
Simu: 0719813124
Simu/wasap: 0754065514
Email:benwilliam307@gmail.com
-Download/Sikiliza hapa chini wimbo huo:
0 maoni:
Post a Comment