HAYA NDIYO MATAIFA YASIYOAMINI UWEPO WA MUNGU


 

Inawezekana hii ikawa taarifa mpya na ya kushangaza kwako na huenda ndio leo unaipata lakini amini usiamini ukweli ndio huo kwamba kuna watu wengi tu duniani wasioamini uwepo wa Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na dunia.

Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu,yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

1.China. 

Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
 
2.Japan.
Ikiwa na 31% ya wapagani,huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
 
3.Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani,huku asilimia 30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.
 
4.France.
Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama Mungu yupo.

5.Korea Rep(South).
Ikiwa na asamilia 15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.


Source:Tim Heaven 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment