KAA TAYARI KWA UJIO WA SIMULIZI ZA KWELI NA ZA KUSISIMUA


 
 
Je! wewe ni mpenzi wa simulizi? je unapenda hadithi za kusisimua,shuhuda za hudhuni,faraja na za kutishaaaa!
Kama jibu ni ndio basi ondoa shaka,tovuti ya PROMOVER.COM inakuletea simulizi za kweli zenye ushuhuda ndani yake utakaokubariki na kukuacha kinywa wazi.
Kaa tayari kwa simulizi kama vile:-
1:Mateso ya kijana mvumvi
2:Monika mla watu
3:Makanisa ya kishetani
4:Kafala ya mjomba
5:Malkia wa kuzimu
6:Anastazia wa hudhuni
7:Nguvu ya maagano ya kipepo
8:Yunithi mke wa jini Judithi
9:Niligoma kuwa mla watu
10:Chausiku kibarua wa majini
Na nyingine nyiiiingi,na cha kuvutia zaidi ni kwamba  simulizi zote tajwa hapo juu ni za kweli kabisa sio za kutunga wala kusadikika
kwa maelezo zaidi endelea kutembelea tovuti hii,www.promovertz.blogspot.com
-Download/Sikiliza orodha ya simulizi zitakazoanza kusikika
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment