SIKILIZA NA UDOWNLOAD WIMBO MAALUMU KUTOKA KWAO KIHAYILE GROUP,KWAAJILI YA MAADHIMISHO YA KIFO CHA BABA WA TAIFA

 
Katika kuadhimisha miaka kadhaa tangu kifo cha muasisi wa taifa la Tanzania hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere,waimbaji mbalimbali wamekuwa wakitunga nyimbo za kumbukumbu ya kifo chake.

Mmoja kati ya waimbaji hao ni David Kihayile Kutoka kikundi cha waimbaji wa nyimbo za dini kutoka jijini Mwanza kiitwacho Kihayile Group,David ameimba wimbo unaoitwa Tutakukumbuka mwalimu Nyerere.

Wimbo umetengenezwa na producer Abeid Kihayile kwenye studio ya AB Records.Wimbo umetungwa na wanakikundi wa Kihayile Group.

Kihayile Group wanapatikana Jijini Mwanza,kwa mawasiliano kwaajili ya huduma mbalimbali wapigie kwa simu namba: 0766311797  

-Sikiliza wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment