Ukweli kuhusu sitofahamu hiyo umewekwa bayana na msemaji wa kikundi hicho Musa Isaya ambaye pia ni mwimbaji wa kikundi hicho wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Full Shangwe Extra cha kituo cha redio 98.2 Kwaneema fm redio cha jijini Mwanza.
![]() |
Yohana Mwachali |
![]() |
-Musa Isaya |
Kuhusu kutengana Musa amesema tarifa hizo ni za uongo kwani bado wako pamoja na kwa sasa wanashighulikia suala la kurekodi video ambalo liko katika hatua nzuri.
-Sikiliza hapa chini maelezo zaidi wakati wa mahojiano hayo

-Kukifahamu kwa undani kikundi hicho na Kusikiliza wimbo wao mwingine unaoitwa Nakusubiri,bonyeza HAPA
0 maoni:
Post a Comment