ASKOFU MOKIWA AKANUSHA KUVULIWA UASKOFU,ASEMA MGOGORO UMETENGENEZWA

 
Baada ya Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Jacob Chimeledya kumtaka Askofu mkuu Dayosisi ya Dar es salaam Valentino Mokiwa ajiuzulu kwa kile kilichodaiwa kuwa anatumia madaraka yake vibaya na ubadhirifu wa fedha.

Leo January 10 2017 Askofu Mokiwa amekutana na waandishi wa habari ili kutoa ufafanuzi kuhusu mgogoro huo unaoendelea kwenye kanisa hilo ambapo amekanusha na kudai kuwa migogoro hiyo inapandikizwa.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment