SIKILIZA NENO LA SIKU-BARAKA HUFATA UTII | BISHOP MPEMBA

Shalom.Bila shaka hujambo,karibu katika Neno la siku kama ambavyo tumekuwa tukikuletea mara kwa mara kupitia mtandao huu wa Promover.com

Neno la siku ya leo linaletwa kwako naye Bishop Mpemba ambaye ni askofu mkuu wa kanisa la TFE Kwaneema lenye makazi yake Mkoani Mwanza nchini Tanzania.

Neno la leo limebeba kichwa cha Baraka hufata utii likiwa linatoka kwenye kitabu cha kumbukumbu la Tolati 28:1-
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment