TAZAMA ALICHOKISEMA ASKOFU GWAJIMA KUHUSU KUHUSISHWA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw:Paul Makonda hapo jana ametangaza katika vyombo vya habari majina 65 ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya hapa Tanzania,akiwemo askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima na wengine pia kuisha kuwataka watu wote 65 waliotajwa, kuhakikisha wanaripoti kwenye Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam siku ya Ijumaa saa 5 asubuhi kwa mahojiano zaidi.

Leo mchana Askofu wa kanisa la Ufufuo na uzima Mh. Dkt. Gwajima alikutana na waandishi wa habari na kujibu tuhuma hizo za kuhusishwa na kutajwa kwa kutangazwa kwenye vyombo vya habari kwamba ni muhusika wa madawa ya kulevya na anatakiwa kuripoti Ijumaa saa 5 asubuhi.Je kasema nini?majibu yako hapa:

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment