USIKOSE SEMINA HII KUBWA YA NENO LA MUNGU KUTOKA NEW VINE CHURCH-MWANZA

       
Kanisa la New Vine  la jijini Mwanza nchini Tanzania linawakaribisha watu wote kwenye semina kubwa ya neno la Mungu iliyobeba ujumbe wa "Uponjaji wa Majeraha  ya ndani ya Nafsi/Moyo"

Semina hiyo itafanyika kuanzia tar 23 hadi 26/2/2016 katika kanisa la New Vine lililopo Tema Hotel(ukumbi mkubwa)Nyegezi Mwanza.

Semina itaanza majira ya saa 9:30 alasiri hadi saa 12:30 jioni ambapo maombi na maombezi kwa wenye shida mbalimbali yatafanyika.

Mnenaji mkuu katika semina hiyo ni Mch:Isack Lyimo kutoka Arusha akishirikiana na wenyeji wake  Mch:Goodluck & Ziada Kyara.Watu wote mnakaribishwa!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment