USIKOSE USIKU WA SHANGWE KUTOKA BREAKTHROUG CHURCH BOKO MAGENGENI

 
Kanisa la BreakThroug Church lililipo Boko Magengeni,linakukaribisha kwenye mkesha mkubwa wa maombi uliopewa jina la "USIKU WA SHANGWE".

Mkesha huo utafanyika katika kanisa hilo kuanzia saa tatu na nusu usiku hadi asubuhi ambapo wenyeji wa Usiku wa Shangwe ni wanafunzi wa vyuo vikuu vyote japokuwa na wengine wanakaribishwa.

Mnenaji mkuu katika mkesha huo ni mtumishi wa Mungu Rev:Gasberst Simchomvu.

Waimbaji mbalimbali watakuwepo usiku huo wakiongozwa na sf praise n worship team,Breakthroug Team,Albert Ochieng,Norah,Son of Abraham na wengine wengi.

Mkesha huo utafanyika siku ya ijumaa tar 10/2/2017 ni kuanzia saa 3:30 usiku.Watu wote mnakaribishwa.

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment