KUTANA NA ERICK AUDAX KWENYE SEMINA YA SIKU 6 JIJINI MWANZA

'Ketishwa pamoja na Ufalme wa Mungu'Ni semina ya siku 6 ndani ya jiji la Mwanza kuanzia tar 1-6/5 2018 maalumu kwajili ya kila mtu. 

Semina hii inaletwa kwako na mtumishi wa Mungu Erick Audax kutoka radio kwaneema fm,ambaye atongoza semina hiyo katika kanisa la Holly Ghost Ministry chini yake Bishop Josephat Magumba,kanisa lipo Igoma miti ya nyerere jijini Mwanza. Ni semina ya kipekee ya neno la Mungu ambayo itakuwa ikianza saa 9 Alasiri hadi Saa 12 jioni.

Walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa na kuponywa bure kabisa.Wote Mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaidi:+255 763 937 238
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment