USHUHUDA WA MIKOBA YA BABU SEHEMU YA KWANZA HADI MWISHO


Karibu uweze kusikiliza sehemu ya kwanza hadi ya mwisho ya ushuhuda wa kweli na wa kusisimua sana unaoitwa Mikoba ya babu.

Katika ushuhuda huu mhusika anaeleza jinsi alivyokabidhiwa mikoba ya uchawi na uganga na babu yake na jinsi ilivyomtesa hadi kufikia hatua ya kuokoka na kumpokea Yesu.Pia kuna mafuzo mbalimbali ya jinsi ya kuepukana na nguvu za giza.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment