MASANJA ASEMA MAZITO KWENYE SHEREHE YA KUZALIWA MKE WAKE MONICA

Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa yake Monica Mke halali wa Masanja Mkandamizaji ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha upendo wake kwa mke wake Monica ambao wamefunga ndoa hivi karibuni.
 
 

Masanja amesema anapenda sana mke wake awe na tabasamu halisia lakini pia hakuacha kuonesha matumaini yake juu ya ndoa hiyo changa kwa kufunguka na kutoa ya moyoni chini kabisa ya uvungu wa moyo wake.

Ameandika hivi:

 


Je! uliutazama wimbo mpya wa Masanja Mkandamizaji unaoitwa Moyo Mweupe? kama bado tazama>>HAPA
 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment