TAZAMA WIMBO MPYA WA ANISETI BUTATI-WATAULIZANA






Anafahamika kwa jina la Aniseti Butati mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchinin Tanzania,ambaye leo anatudondoshea wimbo mpya kabisa unaoitwa "WATAULIZANA"

Wimbo huu unazungumzia jinsi ambavyo mtu aliyekuwa akidharauliwa kutokana na maisha yake duni anavyoweza kupandishwa juu na kuwa na maisha bora baada ya kumuamini na kumtumikia Mungu kwa uaminifu.


Aniseti yupo tayari kwa mialiko mbalimbali ya huduma na kama utamuhitaji tafadhali wasiliana naye kupitia simu namba 0675 197 388

 

-Download audio ya wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment