MADAM RUTI KAFUNGA PINGU ZA MAISHA NA MMAREKANI,TAZAMA PICHA HAPA

  

Madam Ruti sio jina geni kwa wafuatiliaji wa muziki wa injili,huyu ni mwimbaji wa siku nyingi wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania akitamba na wimbo wake wa 'Jana Imepita'.

Hivi karibuni Madam Ruti amefunga pingu za maisha na Maxwell Johnson kutoka nchini Marekani ambapo wawili hao wamekubaliana kuishi kwa pamoja kwa maisha yao yote.


Promover.com inapenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Madam Ruti wa Jana Imepita,hakika leo ni siku mpya naye kwakuwa ameamua kuanza maisha mapya ya ndoa baraka tere zimuangazie.

Tumekuwekea hapa chini wimbo wake Madam Ruti ambao ulimpa sana umaarufu na wengi kumpongeza kwa wimbo huo ambao hadi leo unapendwa na wengi. 
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment