
Kwasasa Jeston Kihwelo ndiye Mhariri mkuu wa kituo cha redio Kwaneema fm radio ya jijini Mwanza.
Katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Jeston ameyaandika haya kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Mungu wangu mtakatifu uketiye mahali pajuu palipo inuka,Ninakushukuru kwa neema na baraka zako ambazo kwa upendeleo Umeona inanifaa kuendelea kuongeza miaka yangu hii leo.
Asante kwa wema wako,niongoze kwa miaka hiyo mingine niishi na nitembee katika nyayo na Mwongozo wako ili mwisho wa siku nishuhudie ukuu wako.Amina"
PROMOVER.COM inamtakia kila la kheri katika siku yake hii ya kuzaliwa na kila la kheri katika maisha yake yote.Happy birhday Jeston Kihwelo.
Asante sana promover kwa kunitambua kama mdau muhimu ninaye ipenda sana blog hii.Endelezeni kuzitangaza kazi za makuu ya Mungu katika Blog hii mnatupa taarifa njema sana
ReplyDeleteAsante sana promover kwa kunitambua kama mdau muhimu ninaye ipenda sana blog hii.Endelezeni kuzitangaza kazi za makuu ya Mungu katika Blog hii mnatupa taarifa njema sana
ReplyDeleteAsante pia ubarikiwe sana.
ReplyDeleteUbarikiwe mhariri
ReplyDelete