SIKILIZA NENO LA SIKU | BAKI NA UHAKIKA-BISHOP MPEMBA

            
Karibu katika neno la siku la leo wakati sahihi wa kupata ujumbe wa faraja kutoka kwa watumishi wa Mungu.

Neno hili la leo la siku linatolewa na Bishop Mpemba ambaye ni Askofu mkuu wa makanisa ya TFE kwaneema yenye makao makuu jijini Mwanza nchini Tanzania.

Neno hilo limebeba kichwa cha 'BAKI NA UHAKIKA' na linatoka  kwenye kitabu cha Zaburi 27:13.Karibu sasa usikikie ujumbe huo kisha uusambaze kwa marafiki.Barikiwa!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment