SIKILIZA NENO LA SIKU KUTOKA KWAKE BISHOP MPEMBA | FANYA MAMBO MATATU KILA SIKU

Karibu katika mtandao wa Promover.com wasaa mzuri wa kusikia neno la siku kama ambavyo huletwa kwako na watumishi mbalimbali wa Mungu.


Neno la siku ya leo linaletwa kwako na mtumishi wa Mungu Bishop Mpemba ambaye ni askofu mkuu wa kanisa la TFE Kwaneema lenye makao yake jijini Mwanza nchini Tanzania.

Neno la leo limebeba kichwa cha 'Fanya Mambo Matatu Kila Siku' na linatoka katika kitabu cha zaburi 9:10 Karibu usikilize na usisahahu kusambaza kwa marafiki wako ili nao wabarikiwe na neno hilo.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment