SIKILIZA SEHEMU YA PILI YA USHUHUDA WA MALKIA WA KUZIMU | SIMULIZI YA KWELI

Ni siku nyingine ya jumapili ambapo Promover.com inakuletea sehemu ya pili ya ushuhuda wa 'Malkia wa kuzimu' ambayo ni simulizi ya kweli ya maisha ya kijana ambaye alijikuta katika changamoto kubwa maishani baada ya kupendwa na Malkia wa kuzimu.

Karibu sasa uweze kuendelea na kufahamu ni kipi zaidi kilimsibu kijana huyo baada ya kuwa amepelekwa kuzimu kwa mara ya kwanza kabisa.Simulizi hii itaendelea zaidi endelea kutembelea blog hii na kama una maoni taadhali tuandikie hapo chini au tutafte katika email au namba za simu tulizoziweka kwenye 'wasiliana nasi'.Ubarikiwe!
Share on Google Plus

About Prom Over

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni: