
Katika ushuhuda huu kijana Anton anaeleza jinsi alivyojikuta katika changamoto kubwa maishani baada ya kupendwa na Malkia kutoka kuzimu.Je!ilikuwaje wakakutana na je!alifanikiwaje kujinasua!Majibu yote yako kwenye Ushuhuda huu.Sikiliza sasa na endelea kufuatilia mtandao huu ili upate mwendelezo wa simulizi hii.
Kama una maoni.Tafadhali tuandikie hapa
ReplyDelete