SIKILIZA/DOWNLOAD KITU KIPYA KUTOKA KWA MLEMBA MO | YESU YUKO NA MIMI

            
Yule mwimbaji mahili wa nyimbo za injili anayefanya vizuri kutoka jijini Mwanza anayeitwa Mlemba Mo ameachia wimbo mpya kutoka kwenye album yake.

Wimbo huo unaitwa 'Yesu yuko na mimi' na unapatikana kwenye album yake mpya kabisa aliyoiachia mwishoni mwa mwaka jana inayoitwa Wale Wale.

Hakika huu ni wimbo ambao utakubariki ukiusikiliza leo,pia unaruhusiwa kuupakua na kuusambaza.Kwa mawasiliano zaini mtafte Mlemba Mo kwa simu namba:0745 018 873
 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment