NEEMA NGASHA AMEACHIA WIMBO MAALUMU KWA SIKUKUU,USIKILIZE HAPA


Kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za injili wa Tanzania Neema Ng'asha leo ametupatia zawadi ya kuelekea sikukuu za christmas na mwaka mpya.

Zawadi yenyewe ni wimbo wa audio ambao ni maalumu kwaajili ya sikukuu za mwisho wa mwaka christmas na mwaka mpya.Wimbo huu unaoitwa Mary 'Christmas and Happy New Year' ni wa viwango vya hali ya juu.Karibu sasa uusikilize pia unaweza kusambaza kwa marafiki.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment