JE!UMEITAMAZA VIDEO MPYA YA WALTER CHILAMBO!?KAMA BADO ITAZAME HAPA

Hii ni video ambayo imeachiwa hivi karibuni kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za injili anayeitwa Walter Chilambo,leo kupitia promovertz.com utapata kuitazama video hiyo.

Wimbo huu unaitwa 'Kuna Jambo' wimbo unaoelezea historia ya maisha yake Walter Chilambo.Karibu sasa uitazame video hiyo.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment