Inawezekana hii ikawa taarifa mpya na ya kushangaza kwako na huenda ndio leo unaipata lakini amini usiamini ukweli ndio huo kwamba kuna watu wengi tu duniani wasioamini uwepo wa Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na dunia.
Utafiti Unaonesha
kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa
Mungu,yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini
uwepo wa Mungu (Atheism).
1.China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
1.China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
2.Japan.
Ikiwa na 31%
ya wapagani,huku asalimia 31% ya
wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
3.Czech Republic.
Ikiwa na 48%
ya wapagani,huku asilimia 30% ya
wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.
4.France.
Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama
Mungu yupo.
5.Korea Rep(South).
5.Korea Rep(South).
Ikiwa na asamilia
15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.
Source:Tim Heaven
0 maoni:
Post a Comment