Home /
KONGAMANO
/
MKESHA MKUBWA WA MAOMBI UMEWADIA,NI IJUMAA YA KESHO 21/10/2016
MKESHA MKUBWA WA MAOMBI UMEWADIA,NI IJUMAA YA KESHO 21/10/2016
Ule mkesha wa maombi na nguvu za kufunguliwa uliokuwa ukiusubiria kwa hamu kubwa,umewadia ni kesho tar 21/10/2016.
Mkesha huo utafanyika katika Hotel ya GoldCreast jiji Mwanza kuanzia saa mbili usiku na hakuna kiingilio ni bure kabisa.
Kufahamu zaidi kuhusu mkesha huo bonyeza>>HAPA
0 maoni:
Post a Comment