MPYA MPYA!TAZAMA WIMBO WAKE PAUL CLEMENT-UMENIFANYIA AMANI


 

Kutoka kwenye burudani ya PROMOVERTZ.COM leo tunakuletea mpya mpya kabisa kutoka kwa mwimbaji wa muziki wa injili kutoka jijini Dar Es Salaam aitwaye Paul Clement wimbo unaitwa Umenifanyia Amani.

Mwandishi wa wimbo huu ni yeye mwenyewe Paul na umerekodiwa kwenye studio za Fisher Records ambapo Paul anasimamiwa kazi zake zote na lebel hiyo.

Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kumpata Paul Clement kwaajili ya mialiko na huduma mbalimbali,mtafte kupitia email hizi: fisherrecordstz@gmail.com Au  paulclement39@gmail.com
namba ya simu ni: +255625661862. Barikiwa

Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment