VIDEO:TAZAMA WIMBO WA ALIYEKUWA MME WA FLORA MBASA,E MBASHA

  
Emmanuel Mbasha ni Mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye alikuwa akianya huduma hiyo kwa muda mrefu akiwa na aliyekuwa mke wake Flora Mbasha,ambapo wawili hao waliachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake ya sanaa.

Lakini pengine kwa kuwa ulizoea kuwasikia wawili hao wakiimba kwa pamoja na pengine una mashaka kama kila mmoja wao ana uwezo wa kuendelea kufanya vizuri katika ubora ule ule!,basi ondoa shaka kwani kupitia Burudani ya PROMOVER TV leo tunakuletea wimbo alioimba Emmanuel Mbasha bila Frola.Wimbo unaitwa Haribu mipango ya shetani.


 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment