VIDEO:TAZAMA SALUTE YAKE JOSEPH NYUKI MKALI WA KUSAKATA NGOMA

 
Joseph Nyuki sio jina geni kwa wafuatiliaji wa nyimbo za injili kwani jina hilo lilitamba sana kwenye miaka ya 2012 baada ya kibao cha SIDANGANYIKI ambacho alikiimba kwa ustadi mkubwa sana.

Katika kuonesha kwamba hakubahatisha Joseph Nyuki aliachia nyimbo nyingine kali sana na moja kati ya nyimbo hizo ni ule uitwao SALUTE.baada ya video ya wimbo huo kutoka wadau wengi wa mziki wa injili walikubali kazi zake.

Ni mmoja kati ya waimbaji wa gospo wenye uwezo mkubwa wa kulimiliki jukwaa,ana uwezo wa kucheza sana kuliko waimbaji wengi wa gospo duniani.Tazama wimbo huu wa SALUTE na ndipo utakapogungua namaanisha nini.


Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment