WAANDISHI WA HABARI TANGA WAAGA MWILI WA MAREHEMU NEEMA MWITA

 































Mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari na mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza marehemu Neema Mwita,umeagwa mapema asubuhi ya leo huko mkoani Tanga.

Marehemu Neema Mwita alikutwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu ambapo hadi mauti yanamkuta alikuwa mkoani Tanga kimatibabu.

Umoja wa waandishi wa habari kutoka  mkoani Tanga ambao ndio wamefanikisha kusafirishwa kwa mwili huo,ndiyo waliougaga mwili wa marehemu tayari kwa maziko yatakayofanyika wilayani Musoma.

- Marehemu Neema Mwita

Kama unahitaji kumfahamu zaidi marehemu Neema Mwita,bonyeza>>HAPA

Tazama hapa picha wakati waandishi wa habari wa Tanga wakiuaga mwili wa marehemu.
 
  












































     
       
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment