VIDEO:TAZAMA VIDEO MPYA YAKE ANGEL BENARD-KIU YANGU

Angel Benard sio jina geni kwa wafuatiliaji wa muziki wa injili nchini,amekuwa akifanya vizuri sana hasa kwenye miziki miondoko ya taratibu ambayo kiinjili inaitwa miziki ya kuabudu.

Kupitia PROMOVER.COM tunakualika kutazama wimbo mpya wake Angel unaoitwa KIU YANGU.Wimbo umetengenezwa kwenye studio ya Doxsa Music huku video ikiwa imeongozwa na director EINXER kutoka studio ya Maxum.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko mbalimbali ya huduma za injili tu,unaweza kuwasiliana na Angel Benard kwa mawasiliano haya:


-Facebook: AngelBernad
-Twitter: angelbenard
Simu/WhatsApp:
0652887050/
0759444488
-Instagram: @angelbenard
-YouTube: AngelBernad 


Angel Benard ni mmoja ya watanzania wanaowania tuzo za Xtreem Awards KE,kufahamu zaidi bonyeza>>HAPA

-Tazama hapa video ya hiyo ya "Kiu Yangu" 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment