HAPPY BIRTHDAY ABEID KIHAYILE!

 
Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita ndipo mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka familia ya wenye vipaji,Abeid Kihayile alipozaliwa.PROMOVER.COM inamtkatika kila la kheri katika siku hii muhimu kwake.
Leo ni siku ambayo Abeid Kihayile anasherekekea siku yake hii muhimu ya kuzaliwa ambapo katika kusherekea Abeid amemshukuru Mungu kwa kumfikisha alipo na kuwashukuru wote waliomfikisha alipo kwa namna moja ama nyingine.

Abeid anatokea katika familia ya wenye vipaji ambao wanaunda kikundi cha waimbaji kinachoitwa Kihayile group ambacho kimechaguliwa kushiriki katika tuzo za injili huko nchini Kenya. 
 
Kufahamu jinsi ya kuwapigia kura kihayile group kwenye tuzo hizo,bonyeza>>HAPA
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment