

Hivi karibuni mtoto wa miaka 9 Ibrahim Junior Adon Kajeri kutoka wilayani Ukerewe jijini Mwanza amezindua video yake mpya ya kwanza kabisa iliyobeba ujumbe mkubwa sana.
Wimbo huo umezinduliwa katika hotel ya Millenium Plaza iliyoko mjini Nansio ambapo wageni mbalimbali wakiwemo waanyabiashara na viongozi wa kiserikali walihudhulia.Wimbo unaitwa Tutarukaruka
Mtoto Ibrahim ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne anatokea katika familia ya waimbaji ambapo kaka zake pamoja na mama yake anayeitwa Janeth Konje wote ni waimbaji.
-Karibu sasa utazame picha za uzinduzi huo
-Kumfahamu zaidi mtoto Ibrahim na kuitazama video ya Tutarukaruka,bonyeza>>HAPA
0 maoni:
Post a Comment