TAARIFA MPYA:WAIMBAJI WOTE WANAKARIBISHWA KWENYE SEMINA HII HATA KAMA HUKUTHIBITISHA



Hii ni taarifa nzuri ya neema kwa waimbaji wote wa muziki wa injili,ni kuhusu ile semina kubwa inayofanyika siku ya leo tar 30/12/2016

Taarifa za ndani kutoka kwa waandaji wa semina hiyo Ni kwamba kwa wale ambao hawakuweza kuthibitisha kushiriki katika semana hiyo kwa namba ambayo ilitangazwa hapo awali,wanakaribishwa tu wote kwa ujumla.

Hii inamaanisha kama wewe ni mwimbaji wa nyimbo za injili na upo Mkoani Mwanza leo,njoo kwenye semina hiyo itakayoanza saa nane mchana hadi saa 12 jioni.Ni kwenye ukumbi uliopo Kassa charity school kisesa kanyama jijini Mwanza.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment