SIKILIZA UJUMBE MFUPI WA SIKU KUTOKA KWA BI-SHOP MPEMBA|UMUHIMU WA KUSAMEHE

 
Jumapili kama ya leo wakristo wengi huenda katika nyumba za ibada kwaajili ya kumuomba Mwenyezi Mungu katika nyumba za ibada ingawa wapo ambao hukosa kwenda ibadani kutokana na sababu mbalimbali kama wewe ni mmoja wao basi usiwe na hofu sana kwani  Promover.com inakuletea Neno la siku litakalokujenga.

Neno la leo la siku ni ujumbe mfupi unaoletwa kwako na mtumishi wa Mungu Bi-shop Augastine Mpemba ambaye ni askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Field Evangelism(TFE) maarufu kama kanisa la kwaneema lililopo jijini Mwanza Nchini Tanzania.

Ujumbe huo wenye kichwa cha 'ACHILIA,SAMEHE' unatoka kwenye kitabu cha Marko 11:25 ukielezea kuhusu masuala ya kusamehe na kuachilia.Karibu na ubarikiwe!
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment