SIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO UNAOBEBA ALBUM MPYA YAKE ANNOINT ESSAU AMANI | FUNGUA MBONI

 
Annoint Essau Amani maarufu kama mtoto wa Rose Muhando,ameachia wimbo mpya ambao ndio uliobeba album yake mpya ya 'Fungua Mboni'.

Wimbo huu wa audio naitwa 'Fungua Mboni' ukiwa umerekodiwa kwenye studio za Pamoja Record za jijini Dar es salaam.

Akizungumza na Promover.com Annoint anasema wimbo huo ni maalumu sana kwani unaujumbe maalumu kwaaajili ya watu wote akiwataka wafumbue macho na kujitathimini kwa matendo yao.

Karibu sasa uusikilize wimbo huo na kisha uusambaze kwa marafiki na kama una maoni tuandikie hapo chini.Ubarikiwe!
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment