HII HAPA VIDEO MPYA YAO KIHAYILE GROUP | MTENDA MIUJIZA



Baada ya kuenea kwa taarifa kuhusu ujio wa video yao mpya hatimaye kikundi cha waimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza cha Kihayile Group kimeachia rasmi video ya wimbo wa 'Mtenda miujiza'.

Audio ilimetengeneza naye producer Emmanuel Sudi kutoka studio za Emma Records,video imeongozwa na director Kenny Ukiyz.

Karibu sasa utazame video hiyo kisha uisambaze kwa marafiki na kama una maoni usiache kutuandikia hapo chini kwenye comments.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment