NEEMA NG'ASHA KAACHIA VIDEO MBILI KWA MKUPUO KUTOKA NCHINI KENYA,ZITAZAME HAPA


 
Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka jijini Mwanza nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Neema Ng'asha ameachia video mbili za nyimbo "MATENDO YAKO" na "NAKUPENDA YESU".

Video hizo zimefanywa na madirector Jay Menge na Josh Berry kutoka kampuni ya Calmmedia kutoka jijini Nairobi Kenya huku audio zikiwa zimefanyika katika studio za Apao Records.

Akizungumza na Promovertz.com Neema Ng'asha amesema anamshukuru Mungu kwa kupata nafasi hii ya kipekee kwa kufanya kazi hii na kampuni ya Calmmedia kutoka Nairobi Kenya,anaamini huo utakuwa mlango wa kufikia hatua kubwa katika huduma yake.

Karibu sasa uweze kutazama video ya matendo ya yako,Video ya Nakupenda Yesu itakujia rasmi hivi karibuni.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment