USINIACHE WA GILBERT NOAH WAZIDI KUBAMBA TANZANIA,KAMA HUJAUSIKIA BONYEZA HAPA

 
Mwimbaji Noah Gilbert ambaye pia ni mzalishaji wa nyimbo producer,ameendelea kutamba na wimbo wake mpya aliouachia siku kadhaa zilizopita wimbo unaojulikana kama 'USINIACHE'

Kwa utafiti uliofanywa na Promovertz.com Wimbo huo umeendelea kufanya vizuri katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania kama vile Dar es salaam,Mwanza,Arusha na Tabora ambapo umekuwa katika tatu bora ya nyimbo zinazofanya vizuri katika vituo vya redio huku pia ukifanya vizuri katika blog na website mbalimbali.

Kama hujapata fursa ya kuusikiliza wimbo huu basi leo kupitia mtandao huu Noah Gilbert anakualika uweze kuusikiliza,kuupakua pia kuusambaza kwa marafiki.Kama una maoni tuandikie hapo chini:
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment