TAZAMA VIDEO MPYA:PAUL CLEMENT | MUNGU HALISI


Ni Paul Clement tena ikiwa Ni mwezi wa pili tu mwaka huu 2018 aliachia video kali kabisa inayoitwa 'Jina la Yesu' sasa kaamua kuachia video nyingine tena ambayo nayo ni ya viwango vya hali ya juu ya wimbo wa 'Mungu Halisi'

Wimbo huu umerekodiwa katika studio za Fishers Records wakishirikiana na Chosen Records International.Video imeongwa na Kwetu studio.Karibu sasa uitazame video hiyo.
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment