VIJANA TABORA WAKUTANA KUPATA ELIMU YA MAHUSIANO NA UCHUMBA


Huduma ya let love lead chini yake mtumishi wa Mungu mwalimu wa neno la Mungu Dionis Buhanda,hivi karibuni wamefanya semina kubwa ya vijana katika mkoa wa Tabora.

Semina hiyo ilikuwa maalumu kwaajili ya kuzungumza na vijana waliopo kwenye mahusiano,waliochumbiwa,wanaotafuta wachumba na wale waliowahi kuchumbia au kuchumbiwa wakaachwa au kuacha.

Vijana wengi walijitokeza katika semina hiyo iliyofanyika katika kanisa la FPCT Yerusalem Tabora manispaa,ambapo tumekuandalia ripoti ya tukio zima lilivyofanyika.

Hapo chini kuna picha na chini mwisho kuna video inayoonesha Habari kamili.Karibu













BONYEZA PLAY KUTAZAMA VIDEO.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment