TABORA WAFANYA USIKU WA AGANO,NI MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU


Ni Usiku wa agano(A night of Covenant S1)Ambapo Wananchi mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika mkesha wa kusifu,kuabudu na mafundisho,uliofanyika katika mkoa wa Tabora.

Mkesha huo ulifanyika katika kanisa la effeso Baptist lililopo maeneo ya Bombamzinga huku idadi kubwa ya watu wakijitokeza katika tamasha hilo.

Hapa chini tumekuwekea picha na video inayoonesha kile kichoendelea katika mkesha huo,karibu sasa uweze kutazama.



 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
Bonyeza play kutazama video hapo chini:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 maoni:

  1. Ni usiku ambayo hautasahaurika kabisa, tulimuona bwana akitenda kitu ndani yetu kwa kasi ya ajabu

    ReplyDelete