BAND YA KWANZA YA GOSPEL NCHINI TANZANIA NEW LIFE BAND YATIKISA MKOANI TABORA

Kutoka mkoani Tabora nchini Tanzania,ni mkesha mkubwa wa kusifu kuabudu na mafundisho,mkesha ulioandaliwa na Tabora Mission Team wakishirikiana na Soma Vitabu Leo ambapo mkesha huo ulifanyika katika ukumbi wa tpsc(uhazili).

Mkesha huo wa tar 26.4.2019 ulihudhuliwa na wananchi mbalimbali hasa vijana huku kwa upande wa waimbaji timu kubwa ya kusifu na kuabudu ambayo inaaminika kuwa band ya kwanza ya gospel kwa Tanzania wanaoitwa New Life Band wakihudumu

Karibu sasa uweze kushuhudia matukio katika picha pamoja na video hapo chini

Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment