TAZAMA HII VEDEO YA MTAALAMU WA KUMILIKI JUKWAA,JOSEPH NYUKI


kwenye moja ya machapisho yetu Nimewahi kusema kwamba Joseph Nyuki ni mmoja kati ya waimbaji wa nyimbo za injili wenye uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kwa miondoko yake mahili ya uchezaji na tabasamu bashasha.

Hilo linadhihilika katika baadhi ya nyimbo za video zake Joseph Nyuki ambazo pia kwenye matamasha mbalimbali bado amezidi kudhihilisha umahili wake,waliowahi kuhudhulia moja kati ya matamasha yake watakubaliana na hilo.

Leo kupitia PROMOVER.COM tunakukaribisha uweze kutazama moja kati ya nyimbo zake Joseph Nyuki unaoitwa "MGANGA" Wimbo huu unaelezea jinsi ambavyo waganga wa kienyeji wamekuwa wakiongezeka kila kukicha,lakini Nyuki anasema Bwana Yesu atabaki kuwa mganga mkuu wa dunia.Barikiwa!

 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment