AUDIO:DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO WAKE KAMODEE MALI YA MUNGU-WEWE NI MUNGU

 

Anaitwa Kamodee Mali ya Mungu mwimbaji wa gospo kutoka jijini Mwanza,akitamba zaidi kwa style zake za uimbaji za kikongo ambapo kabla ya kuokoka Kamodee alikuwa akitunga na kuimbia band kubwa za muziki wa kidunia za nchini Tanzania,kwa kutumia lugha ya kiswahili na kikongo.

Kamodee anakudokolea hii iitwayo "Wewe ni Mungu" moja kati ya vibao vyake vikali vitakavyopatikana kwenye Album yake mpya itakayotoka hivi karibuni inayoitwa "Acha dharau"

Wimbo huu kautunga yeye mwenyewe ambapo akizungumza na PROMOVER.COM Anasema wimbo unahusu sifa za kutukuza matendo makuu yake Mwenyezi Mungu.

Kamodee Mali ya Mungu anapatikana kwa mawasiliano yafuatayo:-

Simu/wasap:0766715818
Facebook: Kamode Mali Ya Mungu
Instagram:kamodemaliyamungu
Twitter:kamode mali ya mungu

-Download/Sikiliza hapa wimbo wa Wewe ni Mungu 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment