VIDEO:TAZAMA ANIMATION CARTOON YA WIMBO WA MLEMBA MO-WALEWALE

 

Hivi karibuni mwimbaji mahili wa gospel kutoka jijini Mwanza Mlemba Mo,ameachia wimbo mpya wa audio  unaokwenda kwa jina la Wale Wale.

Wimbo huo umekuwa gumzo sana katika vituo vya redio vya dini vilivyopo jijini Mwanza na kupelekea wimbo huo kuzidi kuwa maarufu siku hadi siku.

Akizungumza na PROMOVERTZ.COM Mlemba mo anasema idea ya wimbo huo aliipata kanisani wakati wa mahubiri ya mchungaji wake ambaye alikuwa akifundisha somo linalowahusu watu wasio waadilifu maishani wanafiki walio na pande mbili kusifia na kuvunja moyo kwa wakati mmoja.

Wimbo huo unazungumzia matendo makuu ya Mungu kwa mwanadamu ambaye alivunjwa moyo na kusemwa ovyo lakini mwisho wa siku alipofanikiwa wale wale wanadamu wanafiki wanamsifia na kumpongeza.

 
Mlemba Mo ndiye yule mwimbaji anayetamba na hit song iliyomtambulisha inayoitwa "Nyamaza" ambapo tumewahi kuandika kuhusu wimbo huo unaweza kufata link hii ili kujua zaidi kuhusu wimbo huo>>http://promovertz.blogspot.com/2016/10/audiosikiliza-na-udownload-wimbo-wake.html

Leo kupitia burudani ya PROMOVER TV tunakuletea video ya wimbo huo lakini ikiwa katika mfumo wa animation cartoon.video halisi  itakujia hivi karibuni

Mlemba mo yupo chini ya usimamizi wa menejiment ya Promover Entertainment na ukimuhitaji kwaajili ya kazi za injili tafadhali wasiliana na uongozi kwa mawasiliano yafuatayo:

Email:promover160@gmail.com
Simu: 0784 074 462
Namba ya Mlemba Mo: 0745 018 873

 -Tazama video hiyo hapa chini:
 

-Download wimbo huo Hapa chini: 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment