YALIYOJILI KWENYE MKESHA WA MAOMBI IJUMAA



Ijumaa iliyopita tarehe 21/10/2016 katika hoteli ya GoldCreast kulikuwa na kesha mkubwa wa maombi ambapo watu wengi walifunguliwa na kutka katika vifungo vya shetani.

Mtumishi wa Mungu Frighton Simeon wa huduma ya Devine Inspiration For All,aliwaongoza waliofika katika mkesha huo ambao ulihudhuliwa na watu wengi kutoka ndani na nje ya nchi.

-Kutazama sehemu ya maombi na kufunguliwa katika mkesha huo,bonyeza>>HAPA

-Kutazama wakati wa kusifu ilivyokuwa,bonyeza>>HAPA 

-Tazama hapa chini matukio katika picha.

- Mtu wa Mungu Frighton Semeon
 

 
Share on Google Plus

About Promover

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment