LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA CHRISTIAN KELVIN,KAANDIKA UJUMBE HUU KWAAJILI YA MAMA YAKE


Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini jijini Mwanza nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Christian Kelvin.

Chistian Kelvin ametamba sana na nyimbo zake kali kama vile FIKIA CHEO,TUWACHAFULIE,KUWA NAWE,bila kusahau wimbo wa sasa unaotamba sana unaoitwa YANGURUWE.

Pia Christian Kelvin ni mmoja kati ya waimbaji wanaosimamiwa kazi zao na menejimenti maarufu jijini Mwanza inayoitwa PROMOVER MANEGEMENT ambao ndio wamiliki wa tovuti hii. 

Katika kuadhimisha siku yake hii muhimu Christian ameandika ujumbe ufuatao kwenye ukurasa wake wa facebook huku akiambatanisha na picha mbili.

"Happy born day to me... Wishes zote nazi dedicate kwa mama yangu Kipenzi...Leah Kelvin,popote ulipo mama,this is 4 u....!!"

Kama hujawahi kusikiliza kazi zake Christian,basi tumekuwekea hapa chini moja kati ya nyimbo zake maarufu inayoitwa TUWACHAFULIE.Barikiwa!

Uongozi wote wa Promover Manegement na Promover.com unamtakia kila la kheri Christia Kelvin katika aisha yake hasa ya huduma ya uimbaji.Happy Birhday Christian Kelvin
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment