HII HAPA VIDEO MPYA YA CHRISTINA SHUSHO | AKUTENDEE NINI


Zikiwa zimepita miezi michache tangu kuachia Audio ya wimbo wake mpya wa AKUTENDEE NINI,hatimaye Christina Shusho mwimbaji mashuhuri kutoka nchini Tanzania ameachia video ya wimbo huo.

Wimbo huo ambao umekuwa mashuhuri sana hasa kwenye sherehe za harusi,umezidi kumuweka katika ramani nzuri ya muziki wa injili mwimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameteuliwa kushiriki katika tuzo mbalimbali za muziki wa injili za Afrika Mashariki.

Video hii mpya imetengenezwa na studio ya NR na kuongozwa na director Nezzoh Monts.Kupitia Promover.com Christina shusho anakualika utazame wimbo huo n kisha utoe maoni yako.Karibu na ubarikiwe!
-

-Download Audio ya wimbo huo hapa chini:
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment