WATANO WAMPOKEA YESU KWA UBATIZO UARABUNI,NI BAADA YA KUSIKIA MAHUBIRI YA KUFUNGA MWAKA



 
Baada ya kuupokea mwaka mpya wa 2017 yako matukio mengi yaliyotokea duniani,ila hili pia linakuwa tukio na taarifa nzuri kwa wakristo wote ulimwenguni.

Hii ni baada ya watu watano kukubali kumpokea bwana Yesu kwa njia ya ubatizo baada ya kusikia mahubiri ya kufunga mwaka huko Doha nchini Qatar penye idadi kubwa ya waarabu.
Watu 5 walipatakumpokea Bwana kwa njia ya ubatizo baada ya mahubiri ya kufunga mwaka kumalizika hapo mwaka jana 31 Disemba,2016 na ubatizwa huu ulifanywa na Mchungaji Israel Muyiwa toka Nigeria

Historia ya kanisa hili kwa ufupi:
Ghuba ya Fildi ya kanisa la waadventista wa Sabato ilianzishwa (mahali kanisa lilipo) Mei 20, 2011 kama matokeo ya kuunganisha Ghuba Sehemu ya Afrika (inahusu sehemu za nchi mbili, ambazo ni;-(Falme za Kiarabu na Usultani wa Oman) pamoja na Ghuba Sehemu ya Kaskazini (inayojumuisha Kuwait, Bahrain na Qatar).Eneo hilo lina makanisa 14,3 makampuni, wengi wao ni katika Falme za Kiarabu.
 
  
 
 
 

Kwa hisani ya:www.Injilileo.com 
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment