HAPPY BIRTHDAY EMMANUEL MWASASUMBE!

                   


Leo Nov 5 ni kumbukumbu ya kuzaliwa yake mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Nchini Tanzania jijini Mwanza anayefahamika kwa jina la Emmanuel Mwasasumbe.

Emmanuel Mwasasumnbe ametamba sana na nyimbo 1mbalimbali kama vile LAZIMA UVUE,VYUMBA VIMEJAA na unaotamba sasa WALETI YA YESU.

Kupitia ukurasa wake wa facebook Emmanuel ameandika maneno yafuatayo ikiwa ni ujumbe wake mkuu katika siku yake hii ya kuzaliwa.

"Leo ikiwa ni siku yangu ya kuzaliwa nina mengi ya kumshukuru mungu,ila kwa kifupi naweza Sema ahsante mungu wangu kwa afya njema na kuniongeza mwaka. Happy birthday to me"

Uongozi mzima wa Promover Manegement kupitia tovuti yao ya Promover.com unamtakia kila la kheri mwimbaji Emmanuel Mwasasumbe katika siku yake hii muhimu.Happy birrhday Emmanuel!

-Sikiliza/Download hapa chini wimbo wake Emmanuel Mwasasumbe LAZIMA UVUE.
Share on Google Plus

About Jacktan Msafiri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment